Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 26,010 Reaction score 51,238 Mar 25, 2019 #1 Wakwere ni watani zangu! Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JK Original) akiwa na Jakaya Mrisho Kikwete "JK wa Msoga"
Wakwere ni watani zangu! Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JK Original) akiwa na Jakaya Mrisho Kikwete "JK wa Msoga"
GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,361 Reaction score 5,628 Mar 25, 2019 #2 Allen Kilewella said: Wakwere ni watani zangu! View attachment 1053780 Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JK Original) akiwa na Jakaya Mrisho Kikwete "JK wa Msoga" Click to expand... Unataka kusema nn hapa mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
Allen Kilewella said: Wakwere ni watani zangu! View attachment 1053780 Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JK Original) akiwa na Jakaya Mrisho Kikwete "JK wa Msoga" Click to expand... Unataka kusema nn hapa mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 26,010 Reaction score 51,238 Mar 25, 2019 Thread starter #3 GUI1 said: Unataka kusema nn hapa mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hili ni Jukwaa la Picha tu kukumbusha mambo ya kitambo kilichopita. Wakati Mwalimu yupo Jakaya alikuwa haitwi JK mpaka JK mwenyewe alipofariki!!
GUI1 said: Unataka kusema nn hapa mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hili ni Jukwaa la Picha tu kukumbusha mambo ya kitambo kilichopita. Wakati Mwalimu yupo Jakaya alikuwa haitwi JK mpaka JK mwenyewe alipofariki!!
Penologist JF-Expert Member Joined Feb 25, 2019 Posts 793 Reaction score 1,932 Mar 25, 2019 #4 Mkuu unataka kusema kwamba mzee wa msoga sio halisi?.
technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,721 Reaction score 58,923 Mar 26, 2019 #5 Allen Kilewella said: Wakwere ni watani zangu! View attachment 1053780 Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JK Original) akiwa na Jakaya Mrisho Kikwete "JK wa Msoga" Click to expand... Kikwete kawa mjanja toka zamani sana macho tu unaona alivyo muhuni
Allen Kilewella said: Wakwere ni watani zangu! View attachment 1053780 Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JK Original) akiwa na Jakaya Mrisho Kikwete "JK wa Msoga" Click to expand... Kikwete kawa mjanja toka zamani sana macho tu unaona alivyo muhuni