Hata Nyerere angekuwepo asingefia St.Thomas Uingereza maana huduma zisingekuwa mbovu kiasi cha kutulazimu kumpeleka Huko, Msituletee Shirki zenu hapa Matatizo mangapi yametokea akiwepo,Alipangalo Mola hutokea, Kwa hiyo Nyerere angekuwepo msingekuwa mnateka Waandishi?