JK ni mwanamichezo?

hivi tafsiri ya mwanamichezo ni ipi haswaaaaa
mchezaji anaecheza mchezo fulani au hata shabiki/mdhamini/ wa michezo anaweza kuwa mwanamichezo?
 
kweli kufa kwa kiu baharini ni ujinga!
 
mi napenda 'afro' lake duh, ki2 angalia hao 'mabandidu' wanavyomezea mate!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…