Sanaaaaaa sanaaaa sanaaa atamaliza matatizo vipi wakati yeye ndiyo tatizo linalotusababishia haya matatizo? Matatizo yatokanayo na Kikwete ni EPA, Richmonduli, Edward Lowassa, Rostam Aziz, William Mkapa, Peter Noni, Mwanaidi Majaar, Anna Mkapa, Salma Kikwete, Ridhiwan Kikwete, Abdulrahman Kinana, Yusuf Makamba, Januari Makamba na mengine mengi kutaja kwa uchache.