JK alisema kuwa takrima haikwepeki ingawaje sheria ya uchaguzi inakataza na mahakama ilikwisha amua kuwa ni rushwa. Sasa kuanzia leo yuko huko Kilimanjaro, tutarajie vituko vingine huko na utani wake na wazee wa Kichagga!
Takrima ni RUSHWA! Kama umewaalika wazee au wananchi kwenye mkutano wako, na kama wananchi wanakukubali, watakuja tu kwa gharama zao. Hivi Nyerere alikuwa anatoa Takrima? Mbona mikutano yake ilikuwa na watu!?

Sasa anaongelea kugawa computer kwa kila mwanafunzi wakati si wafanyakazi wote wa serikali wana computer kila mmoja! Computer ni njia mojawapo ya mawasiliano, je content imekwisha andaliwa?