Jk juu mpaka chini alinunua mwenyewe.

Unajua wengi hawajakuelewa,ki ukweli huyo jamaa aliyesimama na JK amenunua mwenyewe ndio mavazi ya kwao kama masai na shuka.
 
ha ha ha kweli mnamatani na raisi wenu duh hi ndio mojawapo ya zile thuti kati ya tano icheki vizuri ni viatu tu ndio kanunua na vitu vya ndani mwenyewe ila hiyo thuti big nooooooooooooo ni ile mojawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…