Mh Mrema ambaye ni mbunge wa Vunjo amesema ktk serikali ya JK watu waliomo ktk serikali za mitaa ni wezi kwa kuiba fedha za maendeleo ya jamii bila ata huruma wanazila.
MY TAKE;
Kama hali ndo ivyo je tutafika?
Ndio maana ccm inang'ang'ania umeya kwani wanajua huko ndipo kwenye pesa na kama haya yana ukweli ndani yake taifa limekosa mwelekeo kwani uku juu utasikia Dowans,IPTL, nk uku chini ni miradi isiokuwa na tija ilimradi wakamilishe mahesabu
Mh Mrema ambaye ni mbunge wa Vunjo amesema ktk serikali ya JK watu waliomo ktk serikali za mitaa ni wezi kwa kuiba fedha za maendeleo ya jamii bila ata huruma wanazila.
MY TAKE;
Kama hali ndo ivyo je tutafika?
In this country everyone is complaining - those who we thought would be the leaders to lead us against this war (corruption) are also complaining; corrupt people are also complaining. Complaints, complaints, complaints, .... No action.
Natumaini maneno ya Mrema, kama ilivyo ada, yataishia hivyo hivyo; hela zitaendelea kutafunwa kwa kwenda mbele. Hongera Mh. Dr. Mrema (PhD) kwa "kugundua" hilo japo the "THE OBVIOUS NEED NO PROOF".
Muulize Mh.Tundu Lissu alishawahi kutoa data la wilaya ya singida............jamaa wanatafuna hela kama mchwa..........
Ufisadi kila sehemu na hakuna wa kumwajibisha mwenzake kwa sababu wote wamekula.
With all things going on, katika hili nakubaliana na Mrema. Halmashauri nyingi ni wezi. Wanaiba hela za umma. Zaidi, vijiji wanaripoti kwa nani fedha wanazopokea? It sucks.