Mtanzania haswa JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 663 Reaction score 101 Dec 11, 2011 #1 wakuu hivi kwa nini JK hakuwaalika viongozi wenzake wa EAC countries? au walialikwa mie sikuwaona
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Dec 11, 2011 #2 Walialikwa wote, mpaka Central Africa lakini kila moja alitoa udhuru! Hapo nadhani utakuwa umejua kuwa wao wanajua kuwa tanzania haijapata uhuru bado!
Walialikwa wote, mpaka Central Africa lakini kila moja alitoa udhuru! Hapo nadhani utakuwa umejua kuwa wao wanajua kuwa tanzania haijapata uhuru bado!