MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,083
- 15,016
Mkutano wa jumuia ya madola ushaisha? JK kala miguu ya kuku sijui...kiguu na njia...hana hata muda wa kukutana Na wenzie wa jumuia ya Afrika ya mashariki.
Kesha kuwa Antonio Nugas Mzee WA kambi popote na akitoka Yuko utasikia Yuko Palestina.
Juzi alikuwa Sri Lanka nilifikiri amerudi kumbe ni juu kwa juu. Kazi ipo
Naanza kuliamini hilo la kumtenga. PK ana ujinga wake vita lakini huyo rais wetu amekuwa ni mzigo sana aisee. May be akina Mutogorwe wako right.Ndo mana walimtenga mkawa mnalialia..kina m7 na paulo ni vichwa
Akitoka huko huyo raisi x kuna mkutano wa maraisi wa EAC Kampala nov 30.
Sasa mlitaka aende nani? Tumemchagua akatuwakilishe.nenda jk, nenda rais wetu mpendwa kachape kazi.nani hapa jf akiwa rais hatosafiri? Tuache unafiki,tena wengine wanaweza kuwa zaidi ya jk.
Rais amepata safari ya juu kwa juu toka Sri Lanka na sasa yuko Poland kuhudhuria mkutano kuhusu mabadiliko ya tabianchi. Alipita kwa muda Dubai jana na leo asubuhi kaingia Warsaw
wote hao wapo hadi waziri Huvisa pamoja na waziri wa mazingira wa zenj, lakini nae kaunga telaHuwa anaendaga mkurugenzi wa mazingira pale VPO. Imekuwaje?
Kwa tarhmini ya miaka mitano, Kikwete amefanikiwa kuwa Tanzania kwa mwaka na miezi tisa. Miaka mitatu na robo alikuwa nje ya nchi
Kikwete ni rais wa kwenye ndege
wote hao wapo hadi waziri Huvisa pamoja na waziri wa mazingira wa zenj, lakini nae kaunga tela
mi nimechoka kuhesabu!!Rais amepata safari ya juu kwa juu toka Sri Lanka na sasa yuko Poland kuhudhuria mkutano kuhusu mabadiliko ya tabianchi. Alipita kwa muda Dubai jana na leo asubuhi kaingia Warsaw