JK anahojiwa TBC now

Nitakuletea kitambaa cha bendera ya India.

utoroke mbali ipi hapo ni tz halisia ya mambo yalivyo.

Ujenzi mbovu katika mtaa wa mabanda jijini Dar es salaam Tanzania. Na Ebby Shabani Abdallah. Ujenzi wa nyumba katika maeneo ya fukwe ni mojawapo ya ujenzi ...​
 
Si uanzishe uzii hatujadilii hayo unayoonesha hapaa, mbona hata Kenya pabayaaa tu dawa yako Geza Ulole
 
Last edited by a moderator:
utoroke mbali ipi hapo ni tz halisia ya mambo yalivyo.

Ujenzi mbovu katika mtaa wa mabanda jijini Dar es salaam Tanzania. Na Ebby Shabani Abdallah. Ujenzi wa nyumba katika maeneo ya fukwe ni mojawapo ya ujenzi ...​
source?
 
Viwanja vya beach Dar vilivyo very expensive utapata wapi eneo la kujenga bila mpangilio kama hivi? Labda Lamu.
 
BTW that's not a sea but a river in Nairobi if not Ngong, then it is Nairobi or Mathare or Mbagathi River
 
That's true! Thre's no place called Mabanda here Dar es salaam.
 
BTW that's not a sea but a river in Nairobi if not Ngong, then it is Nairobi or Mathare or Mbagathi River
mr chief cry baby joins the fray kukana mabanda yao.mwangalie huyu.hawa wengine nawaelewa ni denial lakini wewe.
haya hapa ni nyeri dar es salaam.au sio

na hapa ni kiambu DAR
Tanzania-Dares Salaam-

​
hapa ni kakamega DAR

hapa ni murang'a DODOMA TZ
DODOMA, Tanzania

NYIE NDUGU ZANGU MTAIKANA TZ MPAKA LINI.KIFO AU VIPI​
 
Bado akili yako haijakomaa kiasi cha kusikiliza vitu vizito kama hivi. Ukimaliza kucheki UEFA, Kachezee playstation ... mambo haya ya kumsikiliza rais wa nchi tuachie watu wazima.

Hahahaha mkuu nakuona unawapa darsa vijana wanafikiri siasa ni mpira wa miguu
 
Ndio mkuu, ndio watoto wetu hawa wa kizazi cha maandamano, inabidi tuende nao taratibu, wataelewa tu.

Kabisa vijana wa siku hizi wanajua ulevi na mpira tuu mambo ya siasa hawayajui mkuu
 
Mheshimiwa kasema sisi hatuna. vitu vya kuwapa wakubwa (USA) kwani wawekezaji wengi ni Uingereza, Kenya n.k;
Baadae akasema ila kuna vitu wamevilenga,
Je great thinker vitu hivyo ni vipi ambavyo mheshimiwa haja itaja ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…