Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 875
Mkuu anaongelea Vitu mchanganyiko
Sasa hivi ameingia ktk gas Kuwa safari yake mwisho UK alienda kuwaombea wanafunzi wetu wakasomee utaalamu wa gas.
Bado akili yako haijakomaa kiasi cha kusikiliza vitu vizito kama hivi. Ukimaliza kucheki UEFA, Kachezee playstation ... mambo haya ya kumsikiliza rais wa nchi tuachie watu wazima.
Rais anaupendo sana! Hawa chadema wanamuonea kwa roho yake ya huruma na upendo, angekuwa Mkapa mbona wangekuwa wanatembelea magongo karibu wote? Wawaulize Zanzibar, au wasubiri 2016 baada ya uchaguzi wakutane na kifaa EL tuone kama Chadema sijui ukawa kama watatamba na kutukana hivi.
Mkuu hapa ndiyo Kibera na kunasehemu zingine ni zaidi ya hapo, eneo bomba la mafuta liliporipuka.
Kama ni bongo hapa nitajie eneo maana nyumba za umasikini wetu nazijua na zinajulikana.
you are not serious! huyu kikwete aliyewatuma akina ighondu wakamtesa dr ulimboka ndiye mwenye huruma?!
We muke ya msukuma hujambo!
Tuonyeshe na kwenyu Kenyaaa pakojee
Terrible ccrrraaappp; rais anasafiri kwenda kuomba wanafunzi wasomee mambo ya gesi kama vile hakuna ofisi ya ubalozi.
Rais JK anahojiwa na TBC1
Kuhusu katiba Sasa hivi.
kenya mie sijakataa kama huyu bwana wenu ajiita rich pol ETI ANADAI UKITAKA KUONA UMASKINI ETI UENDE KENYA TZ MAISHA NI POA SANA.NIKAMWAMBIA UONGO MTUPU NDIO NIKAMPA PICHA ZA HAPO TZ BADO ANAKANA SIO TZ.SASA NDIO AKAGUTUKU USINGIZINI NA KUJINDANGANYA ANAMEZA MEZA ULIMI SASA.AFRICA MASKINI WA AKILI, MALI TUNAZO VIONGOZI WABAYA NA SISI TUNAWAPEA VYEO, PIA SISI WANANCHI OVYO KABISA
you are so dumb.hata bendera huoni.sina muda kurumbana kama hapo sio tz ole wako tembelea mji wako kaka.
Mkuu hapa ndiyo Kibera na kunasehemu zingine ni zaidi ya hapo, eneo bomba la mafuta liliporipuka.
Kama ni bongo hapa nitajie eneo maana nyumba za umasikini wetu nazijua na zinajulikana.
Ok kumbe wote wanaovaa tshirt za I love New York ikiambatana na bendera kumbe ni wamarekani?
Mkuu sometime uwe na shukrani! Maisha tunayoishi hapa ni mazuri sana ukilinganisha na nchi jirani, Kenya imetuzidi kiuchumi lakini angalia maisha ya watu wa chini! Shida tupu! Kibela majanga hata huamini kama ni Nairobi, ukizaliwa family tajiri utakuwa tajiri, masikini ni masikini tu, corruption ndiyo usipime, police waonevu wa raia hasa wageni, wafanyakazi wa hotel wezi, yote hayo kujikimu na maisha magumu, si mala elfu ya hapa???!.