Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Wana JF, ma hasa wale Waisilamu napenda kuwafahamisha kwamba kuna uwezekano mkubwa JK hakuwa ana mazoea ya kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani -- ila ameanza kutimiza nguzo hiyo miaka hii alipoukwaa Urais. Rafiki yangu mmoja aliyekuwa akifanya kazi Wizara ya Fedha wakati JK akiwa Waziri wa Wizara hiyo mapema miaka ya 90 amenieleza alikuwa hafungi.
Hii inaweza kutoa mwanga kwa kiasi kikubwa matatizo yake ya sasa ya kuangukaanguka kunakosemekana kinatokana na kuzidiwa na swaumu.
Halafu pili, hivi katika mafundisho ya kufunga inaruhusiwa kwa Muisilamu kuwatangazia umma kwamba yeye amefungulia? Ndivyo alivyotangaza JK pale Jangwani baada ya kupewa glucose na kurudi jukwaani alisema "Nimefungulia"
.....
Mkuu
Acha ku-"beat around the bush": JK ni mgonjwa - kufunga ramadan inatumika kama kisingizio tu
tangia mwaka jana: Afya ya Kikwete yazua mjadala | Gazeti la MwanaHalisi
Wana JF, ma hasa wale Waisilamu napenda kuwafahamisha kwamba kuna uwezekano mkubwa JK hakuwa ana mazoea ya kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani -- ila ameanza kutimiza nguzo hiyo miaka hii alipoukwaa Urais. Rafiki yangu mmoja aliyekuwa akifanya kazi Wizara ya Fedha wakati JK akiwa Waziri wa Wizara hiyo mapema miaka ya 90 amenieleza alikuwa hafungi.
Hii inaweza kutoa mwanga kwa kiasi kikubwa matatizo yake ya sasa ya kuangukaanguka kunakosemekana kinatokana na kuzidiwa na swaumu.
Halafu pili, hivi katika mafundisho ya kufunga inaruhusiwa kwa Muisilamu kuwatangazia umma kwamba yeye amefungulia? Ndivyo alivyotangaza JK pale Jangwani baada ya kupewa glucose na kurudi jukwaani alisema "Nimefungulia"
Kanuni ya kufunga inasema kwamba kama mtu amefungulia kwa sababu yoyote ile (yaani pamoja na agizo la daktari) haifai kutangaza. Unachotakiwa ni kwamba wewe kula tu kimya kimya na unatakiwa ulipe siku hizo ulizokula baada ya Ramadhani.
You make me happy manLipumba, Mtemvu, Seif Shariff, Dr bilal, shein, duni, Makobe ya mchana?mbona wao hatujasikia wakianguka? samahanini wana CHADEMA sijaminclude na Zitto sio kusudio lakini ni vigumu sana kujua kama kuna wale jamii za kiislamu ndani ya chama chenu hehehehehehe
Tusichanganye dini na siasa, Suala la Kikwete kufunga ni la kidini zaidi, kwa hiyo sioni uhusiano wa kufunga na urais wa Kikwete. Pole sana.
Lipumba, Mtemvu, Seif Shariff, Dr bilal, shein, duni, Makobe ya mchana?mbona wao hatujasikia wakianguka? samahanini wana CHADEMA sijaminclude na Zitto sio kusudio lakini ni vigumu sana kujua kama kuna wale jamii za kiislamu ndani ya chama chenu hehehehehehe
Tusichanganye dini na siasa, Suala la Kikwete kufunga ni la kidini zaidi, kwa hiyo sioni uhusiano wa kufunga na urais wa Kikwete. Pole sana.
He Kigogo acha we! Jamaa ni Luteni Kanali halafu unasema goigoi? tehe tehe tehe!jamani tunazunguka sana kutaka kujua sababu za JK kuanguka anguka...kwa kifupi ni kuwa hana afya na ni goigoi sana.....
Kwa amani au???!!!!!!!Heee, huyu jamaaa anahitaji kupumzika jamani
He Kigogo acha we! Jamaa ni Luteni Kanali halafu unasema goigoi? tehe tehe tehe!