JK ameanza kufunga baada ya kuukwaa urais? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK ameanza kufunga baada ya kuukwaa urais?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Aug 23, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Wana JF, ma hasa wale Waisilamu napenda kuwafahamisha kwamba kuna uwezekano mkubwa JK hakuwa ana mazoea ya kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani -- ila ameanza kutimiza nguzo hiyo miaka hii alipoukwaa Urais. Rafiki yangu mmoja aliyekuwa akifanya kazi Wizara ya Fedha wakati JK akiwa Waziri wa Wizara hiyo mapema miaka ya 90 amenieleza alikuwa hafungi.

  Hii inaweza kutoa mwanga kwa kiasi kikubwa matatizo yake ya sasa ya kuangukaanguka kunakosemekana kinatokana na kuzidiwa na swaumu.

  Halafu pili, hivi katika mafundisho ya kufunga inaruhusiwa kwa Muisilamu kuwatangazia umma kwamba yeye amefungulia? Ndivyo alivyotangaza JK pale Jangwani baada ya kupewa glucose na kurudi jukwaani alisema "Nimefungulia"

  Kanuni ya kufunga inasema kwamba kama mtu amefungulia kwa sababu yoyote ile (yaani pamoja na agizo la daktari) haifai kutangaza. Unachotakiwa ni kwamba wewe kula tu kimya kimya na unatakiwa ulipe siku hizo ulizokula baada ya Ramadhani.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  jamani tunazunguka sana kutaka kujua sababu za JK kuanguka anguka...kwa kifupi ni kuwa hana afya na ni goigoi sana.....
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mkuu

  Acha ku-"beat around the bush": JK ni mgonjwa - kufunga ramadan inatumika kama kisingizio tu


  tangia mwaka jana: Afya ya Kikwete yazua mjadala | Gazeti la MwanaHalisi
   
 4. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe kuwa JK afya yake ni mgogoro, sijasikia marais waliopita kuanguka, Je Mwinyi alikuwa hafungiiiii.Nina wasiwasi atakuwa na afya ya kuungaunga kama ya yule rais wa nigeria aliyevuta hivi karibuni.Tusidanganyane wajameni jamaa siye.
   
 5. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Lipumba, Mtemvu, Seif Shariff, Dr bilal, shein, duni, Makobe ya mchana?mbona wao hatujasikia wakianguka? samahanini wana CHADEMA sijaminclude na Zitto sio kusudio lakini ni vigumu sana kujua kama kuna wale jamii za kiislamu ndani ya chama chenu hehehehehehe
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe kuwa Zitto si Muislaam. Na sababu kubwa hasa ni kuwa jamaa huwa anaonekana akiyarudi mangoma kinoma.

  Dr. Shein na kundi lake ndiyo Waislaam haswaa na dini inawaruhusu kucheza Disco......

  [​IMG]

  Juma Kapuya yeye hadi ana ACUDO na hapa akijirusha roho Mwana wane...........
  [​IMG]

  Mbunge wako Mo wa Singida hadi naogopa kuweka maana watoto hawajalala .................
   
 7. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Heri Zuma yeye kajitangaza kuwa ni Mngoni (Zullu) na anatunza mila yake..........

  Sisi haifahamiki kama ni Waislaam au Wakristo au Wapagani. Al-Qaid wakiona hii kitu, unaamini watashangilia?

  [​IMG]
   
 8. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tusichanganye dini na siasa, Suala la Kikwete kufunga ni la kidini zaidi, kwa hiyo sioni uhusiano wa kufunga na urais wa Kikwete. Pole sana.
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  You make me happy man
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Heee, huyu jamaaa anahitaji kupumzika jamani
   
 11. m

  mickyjager Member

  #11
  Aug 23, 2010
  Joined: Aug 22, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana kwa mada ya leo? kwa upande wangu mie naona hakuna huusiano kati ya swala la imani na siasa, imani ni itikadi ya mtu na siasa ni mtizamo na maono ya mtu ivyo basi kama watu wenye hekima na busara unaweza kukaa chini na kutafakari juu ya jambo ili na swala la kuatangaza kama amefungulia sio swala la kulivalai njuka kwani kuna ubaya gani mtu akisema kama amefungulia kila mtu akawa aware? siye watu wazima tukae chini tutuafakali tupo wapai tuanaenda wapi na sisi kama watanzania tunantakiwa tufanaye nini kwa maslahi la maenndeleo ya taifa letu ni hayo tu kwa leo , asanteni na nawapenda wote.
   
 12. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Yumo pia Said Arfi, Makamu Mwenyekiti. Katika uongozi wa juu kabisa wa CUF kuna Wakristo wangapi? Wamo Ibrahim Lipumba, Seif Shariff Hamad, Juma Duni Haji, Ismail Jussa, Hamad Rashid Mohammed .....na? Tukumbushane jamani!
   
 13. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Aliyeleta udini hapa ni Kikwete, Kaanguka kwa sababu zingine kisha yeye anasingizia swaumu. Kama sio udini ni nini hicho?
   
 14. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,668
  Likes Received: 21,901
  Trophy Points: 280
  He Kigogo acha we! Jamaa ni Luteni Kanali halafu unasema goigoi? tehe tehe tehe!
   
 15. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #15
  Aug 23, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,457
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Kwa amani au???!!!!!!!
  Specify
   
 16. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona alikimbia jeshi. Inawezekana kabisa alishaanza kuanguka siku nyingi. Hivi kweli kufunga kunaweza kumwangusha mtu??? Kama ni kweli mbona wamachinga kibao wanazurura siku nzima lakini hawaanguki????
   
Loading...