Jitibu maradhi ya moyo

Jan 18, 2019
5
2
MARADHI YOTE YA MOYO Jiusi ya limau kikombe 1

tangawizi Juisi kiKombe 1

vitunguu Saumu Juice ki Kombe 1

Siki ya Apple (tufaha) ki Kombe 1

Changanya yote hapo juu na Chemsha kwenye joto la chini, Takriban nusu saa, angalia mpaka ibaki vikombe 3, toa jikoni na ipoe iwe baridi.

Baada ya kupoa, hiyo Dawa changanya na vikombe 3 vya Asali ya mbichi na kuitunza katika chupa.

Kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa uwe unakunywa hiyo dawa kwa kutumia kijiko kikubwa cha kulia wali kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa maelezo ya ziada, tatizo gani la moyo.. angina, pb au nini. Na hizo element kama tangawizi, apple nk zinaenda kutibu vipi moyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la moyo ni pana sana, awe specific - misuli ya moyo, mishipa ya damu, blood pressure, cholesterol kuwa juu?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom