Jitambue kijana

burtons

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
280
Reaction score
86
Kijana mtanzania jiatambue na uisaidie Jamii yako iweze kujikwamua katika lindi la umasikini kwan kijana ndie mleta mabadiliko makubwa ktk jamii.
 
Kijana mtanzania jiatambue na uisaidie Jamii yako iweze kujikwamua katika lindi la umasikini kwan kijana ndie mleta mabadiliko makubwa ktk jamii.

Unajua hata mpumbavu akikaa kimya huonekana mwenye busara! Sio maneno yangu imeandikwa,sasa kama kujitambua kunaanza na wewe,hebu onyesha kwa vitendo maana sijaona hata mahali panapoonyesha kwamba umekwisha jitambua!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mbuty mim nimeshajitambua ndio maana nimechukua hatua ya kuleta mabadiliko ktk jamii yangu japo kua napata upinzan wa hapa na pale lakin nichangamoto tu ambazo nakabiliana nazo.

Mim nimejikita ktk kuweza kuelimisha vijana wenzangu hapa mtaani hasa kuhusu madhara ya ngono zembe na pia kubadili mienendo yao na wao kuwa na fikra chanya na si fikra hasi

Kimsing mim ndio nafanya hivyo lakin ukiwa kama kijana jaribu kuwa na mitazamo chanya ambazo zitaweza kukusaidia ktk maisha yako.na jamii kwa ujumla
 

Well said
 
 
Sauti yako kiukweli umeongea vyema sana lakini nimekua na mpango kazi wangu ambao nimeuweka na kimsingi ninaufuata vyema na kiukweli mabadiliko yapo kwa baadhi ya vijana wameonyesha mabadiliko na wamekua na mitazamo chanya kuhusu maisha yao . Hivyo nguvu ambayo nimeitumia haijaenda bure imerudi na mafanikio japokua si makubwa sana
 
Kijana mtanzania jiatambue na uisaidie Jamii yako iweze kujikwamua katika lindi la umasikini kwan kijana ndie mleta mabadiliko makubwa ktk jamii.

kujitambua ni kubadili mental attitude ya mtu ambayo inahitaji utayari wa mtu husika vinginevyo work done is equal to zero.
 
Hukuelewa kip?achazako

Zangu zipi? Kujitambua ni nini? Hatua zake ni zipi? Unatumia elimu ya mrengo upi? Kijana ni yupi? Utathibitisha vipi kupitia online words kuwa huyu kajitambua?
Sikuelewa hayo Mabepe nisaidie.
^^
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada unaonekana umepata ajira hivi kaeibuni.......
Nitawezaje kumsaidia mtu wakati mimi mwenyewe milo mitatu inanitoa jasho.......
Inawezekana mkuu ulikuwa na kitu kizuri cha kushare nasi isipokuwa ujio wako umetia shaka...ukimaliza kula njoo basi utufafanulie..maana umetuacha njia panda huku tukijawa na shauku ya kutaka kujua ulichataka kutuambia....karibu jukwaani mkuu...
 
Haijajitosheleza bado. .....
 
mimi nimemaliza fomu fo mwaka 2o15 sijui nianzie wapi pakupatia ela nipo nipo tu.ntawaelimisha vp wanamitaa wenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…