nilimwambia dalali anitafutie chumba hayo maeneo chenye gypsum,tiles ,choo na bafu ndani kwa bajeti yangu ya 30,000 kwa mwezi lkn aliniambia nisipotoka ofisini kwake ataniitia polisi,sijui hata tatizo lilikua nini?
mm kuna jirani yangu naye ana mchezo huo huo...nilichofanya na mm nikatafuta cd ya ngono nikapandisha sauti adi juu ...ikawa ngoma draw ...sasa wanafanya mambo yao kimya kimya ...
Umenikumbusha enzi hizo naishi keko mitaa flan hivi,,looooo ni shideeeeer....... walowahi ishi/ wanaoishi uswahilini hasa sehemu zenye "guest houses" kama za keko wanalijua hili teh...