Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
umenikumbusha jamaa mmoja anaitwa BABITO ( certified Wahasibu wanamjua)..alikua anapendelea kusema hako kamsemo..ndo walivyyooooMkuu pole sana. Ndo walivo hao
mpe sura hii asubuhi....Wakuu salamu na heri ya mwaka mpya (2016)
Kiukweli mwaka nimeuanza vzr nimetoka kufurahia na rafiki zangu ni burudaani. Ila sasa nimerud kwangu huku nikiwa bwax kdogo kama kawaida raha ya pombe urudi ulale nayo..ila tabu anayonipa mpangaji mwenzangu ni ngumu sana. Wakat natoka aliniuliza unaenda wapi m nikamjibu kiwanja kuukaribisha mwaka mpya akacheka na kutikisa kichwa yan kama m napotea vle au nachofanya sio sahh na khanga yake 1.
Mi nikasepa sasa narud nakuta miguno saut za ajabu toka chumbani kwake ad nashindwa kulala sahv sa10 tabu nayopata hapa adi tungi imekata. Najiuliza mm au yy nan kaukaribishwa mwaka kiajabu?
Pia nimwambie asubuhi kuhusu hili swala lilivyoniumiza au niache tu itanisababishia nikose mzigo maana nahisi kama namtaka pia.
Mrejesho mkuu...
Nimeonana nae leo mishale ya sa2 akanisalimia vp neighbor za mwaka mpya..nikamjibu safi 2 vp ww mrembo. yy akasema anashukuru ni bomba na ameingia kwa kishindo sasa sijui kishindo gani labda moto aliokua akipelekewa na basha wake mzee..Nadhani umeshaamka na mmeshaonana. Hebu tupe mrejesho!
usijali leo itakuwa zamu yako...Nimeonana nae leo mishale ya sa2 akanisalimia vp neighbor za mwaka mpya..nikamjibu safi 2 vp ww mrembo. yy akasema anashukuru ni bomba na ameingia kwa kishindo sasa sijui kishindo gani labda moto aliokua akipelekewa na basha wake mzee..
watoto wa mjini bwana,
Sikai uswazi" mkuu..Pole mleta mada, inaonekana unakaa uswazi sana ndiko mambo hayo yamebaki, maana hizo sauti aisee huwezi kulala.
Usikute alikusikia wakati unaingia na alikufanyia makusudi tu na huenda hakuwa na mwaname
Leo hapana nasubiri siku kadhaa kipoeusijali leo itakuwa zamu yako...
kipoe hahahaha....Leo hapana nasubiri siku kadhaa kipoe
Hujasoma kuwa alikuwa kapiga kanga 1???!!!Huyo Jirani Ni wakike au wakiume....??
Yaani ulivyosema shape ya kichaga tu ndo umeharibu. LED screen na miguu ni spoke.Wakike mkuu" mdada mmoja anashape yakichaga hatari
HahahaaaYaani ulivyosema shape ya kichaga tu ndo umeharibu. LED screen na miguu ni spoke.
Wakuu salamu na heri ya mwaka mpya (2016)