Jipu lingine hili Waziri wa Elimu liangalie

kuduman201036

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
4,058
2,172
Tangia mwaka 2010 walimu walioko chini ya wizara ''katibu'' mkuu wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi bado wapo njia panda. Walimu hawa walipewa waraka wa kuhamia TAMISEMI kutokana na matatizo yao ya muda mrefu kama vile kupanda madaraja, pesa za likizo, uhamisho, majibu machafu ya watendaji wa wizara hasa maofisa utumishi wa kanda mfano Afisa utumishi wa kanda mikoa ya Mtwara, Kigoma nk. Kwa hili namuomba waziri husika mpya,mchapakazi,aliangalie upya jambo hili maana hawa walimu wanahamishwa bila kupata haki zao kwanza. Maaana hii wizara kuna wajanja wajanja wengi wenye kutafuna pesa za hawa walimu.Mwalimu ana zaidi ya miaka 10 kazini ila mshahara wake kama anae anza kazi leo, pesa zao ila vielelezo kibaaao ili wasikulipe maslahi yako.
;​
 
Back
Top Bottom