Mnamo tarehe 22/2/2016 Mh Kigwangala naibu waziri wa afya jinsia na watoto alikaa na kuongea na madaktari waliomaliza masomo yao mwaka 2014,na kumalizia mafunzo yao kwa vitendo yaani internship mwaka 2015, ambapo wapo waliomaliza mwenzi wa nane, wa tisa na wa kumi.
Kwa mujibu wa Naibu waziri aliwaahidi kwamba ajira za madaktari hao zitatoka mapema kabisa kwa kutumia bajeti ya mwaka 2015/2016 lakini toka siku hiyo mkuu huyo hajiguzi zaidi ya kuchukua media na kufunga mageti.
Ni aibu kubwa kwa nchi masikini kama Tanzania, pamoja na uhaba wa watumishi wa afya inafikia hatua ya kuwaacha madaktari hawa 1025 mtaani kwa takribani karibu robo tatu ya mwaka.
Huu ni upotevu wa raslimali za nchi kwani madaktari hawa walisomeshwa kwa kudi za wananchi tena kwa gharama kubwa.
Mh Rais Magufuli jipu hili naaamini utalitumbua