Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 240
Kampuni ya Vodacom kifurushi cha 500 unapata mb 150 plus 20 mb bonus. Kifurushi cha 1000 unapata mb 500 plus 50 mb bonus. Sasa usanii uko hapa ukitumia ukimaliza hizo bonus tuu, wanabadilisha charges! Zinakuwa kawaida kama hujaweka bundle! Kwa kila bundele inakuwa sh 0.2/kb, ni sawa na 200TSH kwa Mb 1. ambayo pia haikai! Sasa najiuliza kwanini mb za bonus ziende bila limitation kwanini hizi ambazo nimenunua ziwe 200tsh kwa Mb? Sio jipu hili?
Leo wamenitumia ujumbe wa kitapeli ili nijibu wanikate pesa zangu.
Vodacom ni matatizo inaongozwa na wahuni wauza k na matapeli.
Vodacom is distributing Tsh 25 Billion usage benefits to M-Pesa customers. To know your share send AMOUNT to 15300. Keep using M-Pesa to benefit in next payouts
Mkuu hapo ukijiroga kutuma unakatwa pesa.mimi mwenyewe nimetumiwa kiukweli sijaelewa mantik yake
Ujumbe nimeufanyia kazi na punde nikapokea gawiwo langu la faida kwa kutumia Mpesa!Leo wamenitumia ujumbe wa kitapeli ili nijibu wanikate pesa zangu.