Jipatie Vifaa vya michezo kwa bei nafuu

Jipatie Vifaa vya michezo kwa bei nafuu

merere sports

Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
17
Reaction score
9
Jipatie vifaa vya michezo kama jezi, mipira, bips etc, tunapatikana Dar es salaam kariakoo. Kwa wateja wa mikoani tuna huduma ya kukufikishia mzigo popote ulipo kwa gharama nafuu. Wasiliana nasi kwa namba 0692 624 559

Footballs size 5 Tsh 40,000 only.
IMG_20180313_094229_592.jpg
1520922862359.jpg

Jipatie vifaa vya michezo kama jezi, mipira, sox, pampu, nets, tracksuits, viatu imara, shin guards, ribon, filimbi n.k

Kwa wateja wa mikoani tunatuma lakini Dar tutakufikishia bidhaa zetu popote ulipo
PhotoGrid_1521013307341.jpg
 
Tangazo nahisi halijakamilika kwa matakwa ya wanunuzi!Bei zenu zikoje,kama una duka liko wapi,mteja atapataje bidhaa zenu hata kuziona tu kabla ya kununua na mengine mengi ya muhimu!Rekebisha ili uvutie watu wengi
 
Tunapatikana Dar es salaam kariakoo msimbazi, kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0677875088
 
Weka bei bwana unaweka namba je kama sina salio
 
hii thread haitapendeza kama haina picha wala bei za vitu unavyouza zaidi zaidi itakuwa ni kero tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom