Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,209 Reaction score 27,025 Jan 19, 2022 #21 financial services said: Kumbe kuna mnaovaa hadi size 46? Duh you must be the tallest man eeh? Click to expand... Mimi navaa 45
financial services said: Kumbe kuna mnaovaa hadi size 46? Duh you must be the tallest man eeh? Click to expand... Mimi navaa 45
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,209 Reaction score 27,025 Jan 19, 2022 #22 financial services said: Aisee hiyo bei tu mi hoi, vitu vyenu nyie si mchezo bei zake, 250 viatu tu? [emoji23] mimi napata furushi la viatu hapo na chenji Click to expand... Wanajikweza tu hamna lolote Hapa makumbusho stendi unaparta size hizo kuanzia 40 hadi 70 hivi kitu cha ngozi soli bado safi kabisa
financial services said: Aisee hiyo bei tu mi hoi, vitu vyenu nyie si mchezo bei zake, 250 viatu tu? [emoji23] mimi napata furushi la viatu hapo na chenji Click to expand... Wanajikweza tu hamna lolote Hapa makumbusho stendi unaparta size hizo kuanzia 40 hadi 70 hivi kitu cha ngozi soli bado safi kabisa
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,798 Reaction score 22,129 Jan 19, 2022 #23 Snowden E said: Kuna watu huwa wanapata changomoto ya kupata viatu vinavyo watosha. Usihangaike tena, njoo inbox fasta. View attachment 2086819 View attachment 2086822 View attachment 2086826 View attachment 2086827 Bei ni mteremko... Tsh 40,000/= tu Narudia tena Tsh 40,000/= tu, na sio Tsh 250,000/= Click to expand... picha hazifunguki alafu jitahidi kuweka picha zinazoonekana vzr
Snowden E said: Kuna watu huwa wanapata changomoto ya kupata viatu vinavyo watosha. Usihangaike tena, njoo inbox fasta. View attachment 2086819 View attachment 2086822 View attachment 2086826 View attachment 2086827 Bei ni mteremko... Tsh 40,000/= tu Narudia tena Tsh 40,000/= tu, na sio Tsh 250,000/= Click to expand... picha hazifunguki alafu jitahidi kuweka picha zinazoonekana vzr
Haiku JF-Expert Member Joined Mar 31, 2018 Posts 2,941 Reaction score 2,087 Dec 13, 2022 #24 Mtumbwi.