Sema uko wapi tufanye biashara tukiwa tunaonana uso kwa uso wakati wewe unaunganisha mambo yako mimi nazama kwenye wallet natoa pesa.
Dunia ya leo wa kumuamini ni mama ako tu hata baba anaweza kukuingiza chaka.

Huu ndo mpango hizi habari za nipe pesa kwa simu ni majanga wewe kama kweli unaweza tunakutana live tena kama ya mwaka unachukua mpunga nusu kwanza baada ya miezi miwili unamaliziwa