Aina ya gari: Suzuki vitara short chesis
Transmission: Manual
CC: Below 2000
Odometer: 200,000
Haina historia ya ajali
Body ni mpya na yenye mwonekano mzuri
Mahali ilipo: Dar
Sababu ya kuuza: Kuongeza hela ili niweze kutoa gari nyingine bandarini.
Karibu inbox kwa maeleza na mawasiliano.