JIPATIE SOFA ZA KISASA NA ZENYE UBORA.

Sofa Sets House

New Member
Joined
Aug 25, 2018
Posts
4
Reaction score
0
Habari wakuu,
Naitwa Enock, napatikana Mbezi, Dar es Salaam Tanzania. Mimi ni fundi wa kutengeneza sofa za kisasa na zenye ubora.

Bei zangu ni nafuu kabisa, kama ifuatavyo;
-Seti ya watu 5 ni sh. 650,000.
-Seti ya watu 6 ni sh. 720,000.
-Seti ya watu 7 ni sh. 800,000.
-Seti ya watu 8 ni sh. 900,000
-Seti ya watu 9 ni sh. 1000,000.

NYOTE MNAKARIBISHWA.

Kwa mawasiliano zaidi ya kibiashara;
Call/whtspp: 0652 874 876.
Facebook: Nock.
Email: enockcastory@gmail.com
 
Kwa sisi masingle tunaoishi room na sebule au single room hatukufai eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…