JIPATIE SIMU BORA KWA BEI RAFIK.

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,587
Reaction score
14,356
Nauza simu yangu niitumiayo kutokana na shida ya kipesa inayonikabili.
Ni Samsung a8 ya 2017.
Storage GB 32
Camera MP 16
Battery mAh 3050.

Simu ina mstary wa kucrake kidogo sana kwa juu bt inafanya kaz bila shida yoyote.
Pia kibat cha kuwekea line kilipotea kwa hiyo line unaichomeka kwa kuishikiza na karatasi na haisumbui mfano mimi nimeichomeka line mwez wa nane mwaka jana na haijawah kuleta shida yoyote.

Bei ni 250,00 . Mazungumzo yapo.
Nipo Mbeya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…