Jipatie set yenye duvet, ulale unono na baridi hili

Apologise lady

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
5,979
3,103
Jipatie set yenye shuka 1, duvet 1, foronya 2. Size 6×7.2

Bei 100000 tu.

Mkoani unatumiwa, ila gharama za usafirishaji ni zako. ni 15000-20000.

Lala pazur upate nguvu ya kutafuta kesho

msimu wa baridi huu

Acha kulalia mashuka walioyolalia watu, walifunikwa hadi marehemu



mambo yako hayafanikiwi, unapata mikosi, kumbe kwasababu unalalia shuka lililotoka mochari kwenye nchi za watu.




karibu ujitakase kwenye shuka jipyaa.


Serious buyer karibu pm.
1460695957795.jpg
1460695998854.jpg
1460696031478.jpg
1460696040817.jpg
 
Back
Top Bottom