Jipatie set ya shuka kwa bei poa

Jipatie set ya shuka kwa bei poa

Apologise lady

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
5,980
Reaction score
3,115
LADYELLYMOVINGSHOP.

UTARATIBU.
1.Oda zote zinapokelewa, mteja unapaswa kulipia oda zako ndani ya masaa 72 tangu ulipotoa oda.

2.Oda isiyolipiwa ndani ya masaa 72 ni batili, hvo bidhaa itauzwa kwa wengine wenye uhitaji.

3.Bidhaa zangu zinauwezo wa kuwa sokon kwa wk 3 tu, ikiwa uliweka oda bidhaa na haukulipia bila maelezo yoyote, ukihitaji tena usinikumbushe oda ya nyuma, unatakiwa kutoa oda mpya kulingana na bidhaa itakayokuwa sokoni wakati huo.

4.Kwa wale wa mkoani gharama za usafirishaji zitakuwa za mteja na analipia kulingana na thaman ya mzigo.

5. Mzigo utatumwa ndani ya masaa 72 tangu mteja atakapo lipa pesa.

6. Ikiwa umetumiwa mzigo tofauti na oda yako unaruhusiwa kuurudisha kwa gharama zangu ukabadilishiwa au kurudishiwa pesa yako.

7.Bidhaa ninazokuwa nazo kwa wakati, ni zile tu ninazotuma picha kwa wakati huo.

8.Biashara hii ni ya cash, haihusishi mkopo hata kidogo, lipa upewe bidhaa, najua fika nikikukopesha nakupoteza mteja,

9.Biashara yangu haihusishi urafiki wala undugu, hayo mambo kwenye biashara nayaweka pembeni.

10.Weka mbali utani na biashara, unataka bidhaa toa oda upate mzigo wako,

Watu wa Dar home delivery ni jumamosi na jumapili tu na unalipia 2000.

Atakae hitaji nipm. 0629586817

HAPA KAZI TU.

Asante kwa kuwa mteja wangu mwaminifu kwa kuheshimu sheria.



1. Ni shuka moja 1, duvet 1, foronya 2, size 7.2/8.0 cotton. Bei 100000.

2. Shuka 1, duvet cover 1(haina duvet) foronya 2, pazia 2. Size 7.2/8 Tsh 90000

3.Duvet lenyewe Tsh 95000

4. Shuka 1,duvet cove1, foronya 2 Tsh 6×6 Tsh45000
 

Attachments

  • 1456670997103.jpg
    1456670997103.jpg
    34.8 KB · Views: 97
  • 1456671735188.jpg
    1456671735188.jpg
    88.6 KB · Views: 107
  • 1456671898025.jpg
    1456671898025.jpg
    36.7 KB · Views: 71
Duvet ndio nini dada mzuri wengine hata hatujui haya mambo ya kitandani zaidi ya shuka na foronya
 
Duvet, ni kama blanket, dzn kama linasufi ndani, ukwenye joto hutumika kupambia kitanda, kwenye baridi hujifunika pia. Rejea muonekano picha ya kitanda hlo lililokunjwa katikat ya kitanda ndio duvet.

Picha ya chini ni duvet likiwa halijavalishwa cover/foronya

Cc Gamaha
 
nipo posta, kama unaweza leta hiyo ya 45,000/= two pieces itakuwa poa, nakupa pesa yako kwa Tigo pesa , hela ya kutolea juu yako
 
Back
Top Bottom