Intellectual Savior
Member
- Feb 12, 2013
- 29
- 1
Mimi na laki 6 mkuu
shilingi 11,800 USD. Vipi umepigwa na kitu chenye ncha kali au?
mkuu kwa hiyo bei si unaweza kuitoa kabisa kiwandani?? Cha juu ni kubwa mno bosi!
ha ha ha haaaaaaaaaaaa 11,800 USD unaona nyingi saaana. DSA ya siku 18 hiyo hapo bado fee.mpitagwa kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake yapo ya bei nafuu ambayo yatakufaa.