Boss watu huwaga wana asume Dar ndio kila kitu yaani JF ipo Dar hii geri ingekua mkoani angetaja. Lakini fanya asumption ipo Dar.Ipo mkoa gan mkuu?
Hahaha,Oyaa,tutake radhi sie wa MKOANIBoss watu huwaga wana asume Dar ndio kila kitu yaani JF ipo Dar hii geri ingekua mkoani angetaja. Lakini fanya asumption ipo Dar.
Wengi tunafanya asumption tu wadada na wakaka wa Dar tu ndio wanaperuz JF
Hiyo gari ishauzwa! Ilitangazwa sana kwenye media nyingine kwa 10m.Ya mwaka gani