ELIAS MICHAEL MORRIS
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 384
- 298
Karibuni....kalibuni
Kwann mkuu mbn yanapendeza?Duh...
hizo design, hapana kwa kweli
Karibuni....
Unaweza kutupatia picha zaidi mkuu...
Duh...
hizo design, hapana kwa kweli
sisi tunatengeneza sofa za design mbali mbali. ila hizo L shep ndio zinazotupatia wateja weng kwa sasa ndiomaana utazikuta kwa wingi ofisin kwangu. ila wewe kama unataka sofa la design yoyote utatengenezewa na hata ukitaka vifaa kununua mwenyewe ili husiwe na wasi wasi wa quarity sisi tutakufanyia kazi tu, tena hata apo apo nyumbani kwako au popote upendapo wewe.Duh...
hizo design, hapana kwa kweli
+255784133449/ +255621038229Contacts????????
hizi ndio kazi zetu ndugu, tunauzoefu nazo wa zaidi ya miaka 12, hivyo tunajua jinsi ya kumpa kilicho bora mteja wetu kwa kile atakachokichagua, pia tutampa ushauri wa matumizi bora ya sofa ili iweze kudumu kwa miaka mingi, karibuHapa poa
wala hujakosea kiongozi, ila maelewano ninayoyazungumzia apo ni ya aina nyingi, hizo bei nilizoweka hapo ni za pamoja na usafir, hivyo kama mteja akiwa na usafiri wake au anaishi jirani na eneo office ilipo ni lazima bei ishuke, pia mda mwengine mteja haitaji seti nzima bali anahitaji viwili au vitatu hivyo na hapo pia ni lazima pawe na maelewano na mwisho kabisa wateja wengi ukiwatajia bei yako kabisa mf: 890,000 kwa seti, yeye ataomba umpunguzie na husipompunguzia hata 10,000 basi ujue hatanunua uyo, hivyo sisi tunafanya biashara kulingana na mfumo wa uuzaji ulivyo, i mean wateja ndo wanaotulazimisha tuuze hivi.Huu upumbavu wa kuandika bei alafu unasema maelewano yapo siupendi yaani haieleweki dalali yupi mfanyabiashara yupi,
Kwan ukiandika 750,000haipungui kuna shida gani,
Kuliko kuandika 960,000 alafu unakuja kuuza laki saba, mbadilike!
kalibuni
Umejibu vizur kijanawala hujakosea kiongozi, ila maelewano ninayoyazungumzia apo ni ya aina nyingi, hizo bei nilizoweka hapo ni za pamoja na usafir, hivyo kama mteja akiwa na usafiri wake au anaishi jirani na eneo office ilipo ni lazima bei ishuke, pia mda mwengine mteja haitaji seti nzima bali anahitaji viwili au vitatu hivyo na hapo pia ni lazima pawe na maelewano na mwisho kabisa wateja wengi ukiwatajia bei yako kabisa mf: 890,000 kwa seti, yeye ataomba umpunguzie na husipompunguzia hata 10,000 basi ujue hatanunua uyo, hivyo sisi tunafanya biashara kulingana na mfumo wa uuzaji ulivyo, i mean wateja ndo wanaotulazimisha tuuze hivi.
mkuu punguza jazbaHuu upumbavu wa kuandika bei alafu unasema maelewano yapo siupendi yaani haieleweki dalali yupi mfanyabiashara yupi,
Kwan ukiandika 750,000haipungui kuna shida gani,
Kuliko kuandika 960,000 alafu unakuja kuuza laki saba, mbadilike!
nashukuru kiongozi, kufanya hii biashara kwa muda mrefu kumenifanya nijue vizuri maswala ya customer care.Umejibu vizur kijana