INAUZWA Jipatie mota kwa ajili ya geti lako

Mangi wa Rombo

Senior Member
Sep 25, 2014
172
104
Habari!

Tunauza mota za umeme (AC) za mageti kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, ofisini, kiwandani n.k. Mota zina uwezo wa kubeba/kusukuma geti lenye uzito wa hadi 1200KG (1.2 Ton) na zinakuja na remote.

Pia zina taa ya usalama wakati wa kufungua/kufunga.

Bei 1,000,000 TZS kwa moja. Ndani ya Dar utaletewa bure!

Piga simu au chati nasi WhatsApp kwenye +255 745 626 241.

WhatsApp Image 2021-05-05 at 10.33.56.jpeg

WhatsApp Image 2021-05-05 at 10.33.57.jpeg
 
Hiyo bei pamoja na installation?je remote zake zikipotea zinapatika kwa urahisi?
 
Habari!

Tunauza mota za umeme (AC) za mageti kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, ofisini, kiwandani n.k. Mota zina uwezo wa kubeba/kusukuma geti lenye uzito wa hadi 1200KG (1.2 Ton) na zinakuja na remote.

Pia zina taa ya usalama wakati wa kufungua/kufunga.

Bei 1,000,000 TZS kwa moja. Ndani ya Dar utaletewa bure!

Piga simu au chati nasi WhatsApp kwenye +255 745 626 241.

View attachment 1774007
View attachment 1774006View attachment 1774009
Mna aina tofauti za motor zenye bei tofauti na hiyo? ...bei ya chini
 
Hiyo bei pamoja na installation?je remote zake zikipotea zinapatika kwa urahisi?
Habari!
Bei tajwa hapo juu ni bila ufungaji, lakini tunapendekeza mafundi wa ufungaji kwa gharama nafuu kabisa!
Kuhusu remote, kila mota inakuja na remote mbili, na hata ikiharibika au kupotea remote zake zipo na utazipata kwa bei nafuu
 
Mngeuza na kufunga maisha yangekuwa rahisi sana,hasa linapokuja suala la warranty.
 
Gharama za hao mafundi wanafungaje mm nahitaji kununua lkn kuseti mlangoni kucgoma zile reli nafanya MWENYEWE ntahitaji mtu wa kunifanyia comfigaresheni naomba nijue bei nikija kununua nione kma nitamudu lkn hyo mota naimudu mpka sasa
 
Habari! Tafadhali naomba namba yako ya simu PM nikupigie!
 
Mngeuza na kufunga maisha yangekuwa rahisi sana,hasa linapokuja suala la warranty.U

Mngeuza na kufunga maisha yangekuwa rahisi sana,hasa linapokuja suala la warranty.
Habari! Tumesikia maoni yenu na tumeyafanyia kazi! Sasa kwa bei ile ile tutakuletea gate operator na kukufungia nyumbani kwako na kukupa mafunzo ya mwnzo! Wahi offer hii mapema!

Gate Operator (Mota) zenye remote control 2, magnetic sensor (kuzuia geti kugonga kitu), Warning light... Kwa 1,000,000 Tu!
 
Mangi uko vzr, komaa bro
 
Back
Top Bottom