Jipatie MacBook Pro kwa Laki 3 tu

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
Husika na kichwa cha uzi.

MacBook Pro ipo sokoni kwa bei tajwa na ina sifa zifuatazo:

Ram: 2 GB
HDD: 500 GB
Processor: 1.87 GHz
Webcam: Yes
DVD ROM: Yes

Vilevile, PC ni used ila ipo katika hali nzuri. Kwa wote wenye uhitaji tuwasiliane kwa PM kwa kutoa nambari yako ya simu kwa hatua zingine zaidi ikiwemo kukutumia picha VIA whatsApp maana mtandao wa JF unasumbua katika ku-upload picha.

Sababu ya kuuza: Nimekabidhiwa Laptop MPYA na ofisi. Hivyo basi, sina sababu ya kubaki na ya zamani.

Napatikana Dar. Karibuni wote.
 
nitumie picha yake kwa namba 0714478797 sasa hivi nikupe hela sasa hivi
 

badoo ipo kama ipo nitafute kaka naitafute kwa pm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…