Claudio Mpili
Member
- Aug 22, 2017
- 22
- 5
na mayai unauza?Nitakutafuta.
na mayai unauza?vifaranga wa siku moja aina ya kuroiler ni 2100 - 1900, kwa Sasso ni 1900 - 1700 na Malawi ni 1500. Ukinunua zaidi ya mia kuna punguzo la bei, karibu sana.
Kuroiler ni F ya ngapi?Karibuni wote vifaranga vya sasso, kuroiler, malawi na broiler vinapatikana kwa wingi na kwa bei che. Wasiliana nasi kupitia 0714436335 au 0789823594,
Na mafunzo pia tunatoa kwa wafugaji wanaoanza. Mikoani tunatuma bila shida yoyote kabisa. [HASHTAG]#LiveLovePoultry[/HASHTAG]
ndio mkuuna mayai unauza?
Naomba umjibu huyu mdai swali lake!Kuroiler ni F ya ngapi?
Bei nafuu ndio shilingi ngapi? Uwe specific bwanaKaribuni wote vifaranga vya sasso, kuroiler, malawi na broiler vinapatikana kwa wingi na kwa bei che. Wasiliana nasi kupitia 0714436335 au 0789823594,
Na mafunzo pia tunatoa kwa wafugaji wanaoanza. Mikoani tunatuma bila shida yoyote kabisa. [HASHTAG]#LiveLovePoultry[/HASHTAG]
Kuna tofauti gani kati ya kuku wa Malawi na kuku wa sasso ktk hali ya utagaji na faida kwa ujumla?vifaranga wa siku moja aina ya kuroiler ni 2100 - 1900, kwa Sasso ni 1900 - 1700 na Malawi ni 1500. Ukinunua zaidi ya mia kuna punguzo la bei, karibu sana.
Kuna f2 na f1Naomba umjibu huyu mdai swali lake!
Kuku wa sasso wao ni wakubwa zaidi na wanataga sana kuliko malawi. Faida kwa ujumla ni sasso maana wana soko pia kama utawauza kwa nyamaJuna tofauti gani kat ya kuku wa
Kuna tofauti gani kati ya kuku wa Malawi na kuku wa sasso ktk hali ya utagaji na faida kwa ujumla?
Bei nimewapa hapo. Ila kwa watakoweza kusubiria ndani ya wiki tatu tunauza vifaranga wa kuroiler kwa tsh 1600 na sasso tsh 1550. Ila kwa anaehitaji sasa hivi bei ya kuroiler kwa 1900 na sasso ni 1800Bei nafuu ndio shilingi ngapi? Uwe specific bwana
Mie nipo mwanza naitaji sana awo kuku wa sasso ntawapataje ?Bei nimewapa hapo. Ila kwa watakoweza kusubiria ndani ya wiki tatu tunauza vifaranga wa kuroiler kwa tsh 1600 na sasso tsh 1550. Ila kwa anaehitaji sasa hivi bei ya kuroiler kwa 1900 na sasso ni 1800