Jipatie kitabu cha siri za kutajirika...

Jipatie kitabu cha siri za kutajirika...

peter kasanga

Member
Joined
Jun 1, 2017
Posts
49
Reaction score
9
pata kitabu cha siri za kutajirika na biashara soft copy shilingi 3000 hard copy 6000, mawasiliano 0744951631 soma kava hapo chinj kwa maelezo zaid
IMG_20181021_190648_390.jpg
 
Kwa mada kama hiyo siwez soma kitabu kilicho andikwa kwa kiswahili hata kama mtunzi awe nani ...naisi kama nakuwa nasoma matusi ivi,au najitukana mwenyewe
 
Sasa mleta mada wewe hicho kitabu umeshasoma na kama umeshasoma je umeshatajirika?.
 
ungetuonjesha yaliyomo kiundani maana inawezekana uliyoyaandika sisi tumeyasoma kipindi cha mzee ruksa

Usiwe na haraka ya kutajirika kwa kuuza hiyo soft copy yako kwanza ungetulia ukatoa maelezo yanayoeleweka
 
Mkuu yeye mwenyewe anajua kuwa hawezi kutajirika kwa kusoma hicho kitabu bali kwa kukiuza
 
Kwa mada kama hiyo siwez soma kitabu kilicho andikwa kwa kiswahili hata kama mtunzi awe nani ...naisi kama nakuwa nasoma matusi ivi,au najitukana mwenyewe
Sijui alikuwa wapi siku zote!eti forex
 
Kumbe mwandishi siri anazijua....alafu yeye sio tajiri wa forex(maana hatujawahi kumuona forbes)! Hana tofauti na wale wamama wanaocheza chikichi chikichi yeeeee!
 
huyu jamaa nadhani anatafuta school fees arudi shule angekuwa muwazi mbona tungemchangia
 
Hii ya kutengeneza vitabu na kuuza nayo umeitaja kama mbinu? Kwa nini usitumie hizo mbinu badala ya kuhangaika kuuza?
 
Back
Top Bottom