Jifunze Biblia Kwa njia ya maswali ,ni kitabu kipy kabisa kinachokiwezesha kulijua neno LA Mungu kwa kujibu maswali.Kipo kitabi cha watoto wadogo pamoja na watoto Wa sekondari bacho pia kinaweza kutumiwa na watu wazima pia.panda Mbegu ya neno LA Mungu ndani ya Moyo Wa mtoto wako,vitabu vinapatikana kwa sh 7000 tu,mawasiliano 0653 440055