Jipatie kabati la kisasa

Jipatie kabati la kisasa

Frankdaniel711

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2018
Posts
366
Reaction score
140
Jipatie kabati lako lakuwekea nguo kwa bei ya shilingi ELFU 90.000 TUMEAMIA KARIAKOO MTAA WA NDANDA HATUPO MAGOMENI MIKUMI TENA, MIKOANI TUNATUMA DAR TUNAKULETEA ULIPO 0677423349 0756774813 0692507290 WHATSAPP 0677423349 ASANTENI KARIBU SANA
IMG_20181017_234253.jpeg
 
Ndio kazi yangu iyo mpendwa ukipenda kazi utafanya kwa moyo tena bila wasiwasi
Tangazo lako umelitendea haki
Umeonesha u serious so lazima wateja upate
Kuna watu huleta matangazo yao humu anaandika kama hataki au haweki contact au picha
Hata location wengine hawasemi
 
mkuu hivi haya makabati panya hawaingiagi? kwambakuna kaupenyo mahala
 
Uimara wa mbao yake ukoje au sio la mbao? Nataka nikuungishe maana bei ni affordable
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom