Jipatie IPTV Premium ( Bure)

Jipatie IPTV Premium ( Bure)

Samahan mkuu.. ningependa nieleweshwe kidogo ubure wa hii kitu... nimejarbu kuinstall moja ya apk link na ikafungua .. but inahitaji kuwe na mbs ili uweze kuangalia..
 
sawa kabisa lazima uwe na mbs ili uweze kutizama..... haya mambo yote yanaenda kwa mbs
 
ila kwa sasa nitastop kutoa update naona uzi wangu umehamia ktk matangazo madogo madogo.....haya sio matangazo wala sio biashara....thanks
 
Hapo hawajakutendea haki mkuu, ilitakiwa uzi ubaki kule kule mwanzo kwenye technology
 
Au ndiyo mdogo mdogo, kuelekea kupotezwa?
 
Back
Top Bottom