Jipatie Hisense TVs

Jipatie Hisense TVs

jozel07

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
10
Reaction score
4
Jipatie hisense tv's kwa bei poa kabisa
Zina warranty ya miaka miwili
Free delivery kwa wateja wa Dar es Salaam
Tupigie au whatsapp 0765586050

Hisence 32”. 440k
Hisence 32”smart. 510k
Hisence 40. 630k
Hisence 40”smart. 740k
Hisence 43”. Smart. 810k
Hisence 49”. 810k
Hisence 49” smart. 920k
Hisence 58” smart 4k. 1,600k
images-23.jpg
20190914_135817.jpg
20190914_135845.jpg
IMG-20190914-WA0004.jpg
 
Jipatie hisense tv's kwa bei poa kabisa
Zina warranty ya miaka miwili
Free delivery kwa wateja wa Dar es Salaam
Tupigie au whatsapp 0765586050

Hisence 32”. 440k
Hisence 32”smart. 510k
Hisence 40. 630k
Hisence 40”smart. 740k
Hisence 43”. Smart. 810k
Hisence 49”. 810k
Hisence 49” smart. 920k
Hisence 58” smart 4k. 1,600kView attachment 1207234View attachment 1207235View attachment 1207236View attachment 1207237
Hivi bro samahani kwa ujinga wangu, "smart tv" zina vitu gani tofauti na ambazo siyo smart
 
Well, tunavyosema smart tv ina maanisha tv inakua na uwezo wa kama wa smart phone yaani unaweza kuangalia nyimbo youtube kupitia tv yako, unaweza ku download apps kwenye google play store. Vile vile kuna kitu kinaitwa screen share ambayo unaweza ku connect tv yako na simu au PC alafu kinachokua kinaonekana kwenye kioo cha simu au pc kinakua kinaonekana moja kwa moja kwenye TV yako bila kutumia waya
 
Nakuja tuongee kibiashara japo niko mkoani
 
Hizi TV ni Bomu kweli, ukiwa nayo jiandae kuwa na mfuko wa akiba wa kuifanya iendelee kufanya kazi vizuri. Mwanangu alipohamia bwenini tukamnunulia moja, ikafa kabla hata semester haijasiha. Ikabidi tumpe Hitachi ambayo ndiyo anayotumia sasa. Hata kama ina warranty ya miaka kumi, maana yake ni kuwa utatakiwa kila mara kuwa unaita Warranty service mara kwa mara badala ya kupumzika na kuangalia gemu kwenye kochi.
 
Nadhani huyo kijana alizingua tu. Kazini kwetu tunatumia Hisense kudisplay CCTV footage na haijawahi kuleta shida. Huu mwaka wa 6 hata TV moja haijawahi kusumbua.
 
Nyie mna bahati sana kwani nina rekodi ya TV hizo nyingi kufa mapema mno. Zinauzwa kwa bei karibu robo ya TV nyinginezo kama za Samsung na Sharp, lakini nyingi zina maisha mafupi sana. Urefu wa maisha ya vitu kama hivi ni statistical!
 
Nadhani kutakua na feki pia mtaani. Kwa sababu kazini wananunua kwa dealer anayeeleweka (Gadgetronix).
Huwezi kupata feki kwa dealer rasmi.
 
Tv nzr ni ipi boss ambayo angalau unaweza ukamshauri mtu na yenye maisha, je ni tcl?
Sasa hivi naziamini sana LG, Samsung, Sharp, na Vizio tu; lakini haya mambo ya electronics nayo wakati mwingine ni pata potea, technolijia ya electronics imekuwa inabadilika kwa kasi sana siku hivi kiasi kuwa la jana huenda siyo la leo tena!.
 
Jipatie hisense tv's kwa bei poa kabisa
Zina warranty ya miaka miwili
Free delivery kwa wateja wa Dar es Salaam
Tupigie au whatsapp 0765586050

Hisence 32”. 440k
Hisence 32”smart. 510k
Hisence 40. 630k
Hisence 40”smart. 740k
Hisence 43”. Smart. 810k
Hisence 49”. 810k
Hisence 49” smart. 920k
Hisence 58” smart 4k. 1,600kView attachment 1207234View attachment 1207235View attachment 1207236View attachment 1207237
Vip mkuu una za ich24 na vipi bei yake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom