Nikipata pesa nitanunua aisee maana mateso nayopata sio poa.Nunua software mambo yasiwe mengi
Nimefanya hivyo lakini nimeitumia mara moja tu, nilipoifunga ikawa haikubali tena kufunguka.Zima windows defender, zima ant virus, install software yako, restart computer yako, then fresh... By the way, natumia windows 10 na FL 20 + software kibao za production haijawahi nisumbua
Kama upo mwanza njoo ofisini kwangu nikutatulie tatzo lako.Unahitaji deep knowledge ya windows 10 kubypass security feature flani ambayo inasababisha ilo tatizo.Nimefanya hivyo lakini nimeitumia mara moja tu, nilipoifunga ikawa haikubali tena kufunguka.
Nina Pr, Ps na Ae lakini zinafanya kazi vizuri tu sasa najiuliza kwa nini fl inizingue hivi...
Inapogoma inakwambiaje?Nimefanya hivyo lakini nimeitumia mara moja tu, nilipoifunga ikawa haikubali tena kufunguka.
Nina Pr, Ps na Ae lakini zinafanya kazi vizuri tu sasa najiuliza kwa nini fl inizingue hivi...
Siko mwanza mkuu, kama kuna uwezekano wa kunisaidia bila kufika hapo itakuwa vizuri pia.Kama upo mwanza njoo ofisini kwangu nikutatulie tatzo lako.Unahitaji deep knowledge ya windows 10 kubypass security feature flani ambayo inasababisha ilo tatizo.
Inaleta kibox cha blue chenye maandishi "This app can't run on your PC"Inapogoma inakwambiaje?
Siko mwanza mkuu, kama kuna uwezekano wa kunisaidia bila kufika hapo itakuwa vizuri pia.
Inaleta kibox cha blue chenye maandishi "This app can't run on your PC"
Sometime mkuu app inapodakwa mara 1 inaacha mabaki kwenye register na maeneo mengine, hivyo kila unapo re install app inadakwa.
Kama ume exclude ant virus isi scan na una pirated software nyengine ambazo hazidakwi itakuwa si tatizo la Ant virus.
Tafuta un installer ya ukweli kama Revo then tumia ku uninstall usiache mabaki yoyote, halafu tafuta setup nyengine weka upya.