hautumii panel ya wordpress kueka domain kama umehost bali unatakiwa ulogin kwenye panel ya host wako ili kuipark.
utatakiwa uwe na name server za host wake then ukazieke mahala ulipotengeneza domain kwanza.
1. chukua name server za host zimap kwenye domain zinakuwa kama hivi
ns1.yourhost.com
ns2.yourhost.com
mara nyingi mbili tu zinatosha na inaweza chukua muda kidogo kukamilika
2. rudi kwenye host yako then login then nenda sehemy ya domain then add hio domain
baadhi ya host wanaweza wakaipa account mpya hio domain hivyo utahitaji fanya backup toka site ya zamani kuja mpya