Genius one
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 134
- 69
Thanks kwa wazo zuri,vya kuuza vipo vingi sana vinapatikana katika jamii zetu na nje ya nchi yetu..we can buy and sell.Msaada kidogo jinsi ya kupokea malipo ukiwa Tanzania, kununua sio shida kabisa now we need to sell abroad.njia gani out of PayPal? Your help plz? Thanks!Kwanza inabidi uwaulize hao ebay kama wanakubali kutumia njia nyingine ya malipo zaidi ya paypal, unaweza kuweka njia yako unayoona ni the best. Amazon wanakata pesa kutoka kwenye kadi yako moja kwa moja. Naona hii unaweza hii njia.
Pia umeshajiuliza utauza nini huko? Nakushauri kama unaweza ku-meet international standards za vyakula, unaweza kuuza huko.
Ni kweli kabisa na inawezekana...if we are determined we can do it.Ila wateja waliopo Tanzania ambao wananunua mtandaoni bado ni wachache. Hivyo,tunahitaji kutafuta wateja nje na ndani.Hili wazo zuri sana sio lazima ebay hatuwezi kubuni soko letu tz au africa mashariki au africa nzima? angalau sisi kwa bizaa zetu tunafanana kidogo.
Haya ndio mawazo tunayotakiwa kuyachukulia mkazo hapa jamvini.....
Ahsante kwa appreciation..in short internet imeleta fursa nyingi sana. Let us help each other to utilise these opportunies.
Mkuu nakushauri hili wazo lako usililazie damu....hayo ni mawazo ambayo muumba amekufunulia kuelekea utajiri...
Vitu vya kuuza vipo vingi sana mfano tuna wabunifu(designers) wengi na wanadesign vitu vizuri sana na wazungu wanavihitaji,pia bidhaa na Mali gafi zitokanazo na kilimo etc. A lot of opportunies!Kwanza tujue ni vitu gani ambavyo sisi tunaweza uza,vitu vingi tunavyonunua Ebay/Amazon ni Electronics,Vito,Saa na nguo
Mi ninazani tunawataalam wa mitandao, mtu akidizain mfumo wa soko na ikapatikana kampuni ya kupitishia malipo hii kitu inawezekana kabisa hebu wataalam wa computer hii fulsa tena tutajivunia wasomi wetu.
Ona hata mfumo wa jf unasomwa hadi ulaya inashindikana nn kutengeneza soko la mtandaon? ona hata wao wanayo mengi ebay amazon etc
Thanks kwa wazo zuri,vya kuuza vipo vingi sana vinapatikana katika jamii zetu na nje ya nchi yetu..we can buy and sell.Msaada kidogo jinsi ya kupokea malipo ukiwa Tanzania, kununua sio shida kabisa now we need to sell abroad.njia gani out of PayPal? Your help plz? Thanks!
Payoneer nayo ni njia nzuri kwa huduma hiyo.
Ahsante kwa taarifa bro,hii ni habari njema pia.Mleta mada kuna benki inaitwa bancABC niliona michango ya watu humu kua hio bank unaweza kupokea malipo yanayotokana na paypal...kuna mtu aliwahi uliza swali kama lako hili
Mleta mada kuna benki inaitwa bancABC niliona michango ya watu humu kua hio bank unaweza kupokea malipo yanayotokana na paypal...kuna mtu aliwahi uliza swali kama lako hili