Jinsi ya kuunganisha vyeti vya form four

Jinsi ya kuunganisha vyeti vya form four

AKILI TATU

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2016
Posts
2,666
Reaction score
2,840
Wakuu habari, ni hivi nimebahatika kurudia kama mara mbili hivi mtihani wa kidato cha nne kwa karibu masomo yote 7, matokeo ya awali nilikuwa na ufaulu hafifu ambao binafsi sikupendezwa nao niliporudia mara ya pili japo sikufanikiwa sana lakini nilipata angalau matokeo bora kwa baadhi ya masomo.

Sasa naomba kujua, je kuna utaratibu wa kuunganisha vyeti, yani kile cha kwanza na hiki cha pili, utaratibu huo unakuaje na inachukua muda gani na gharama kiasi gani?

Na je, kwa mfano kwenye matokeo ya awali mtu akapata labda alama D kwenye biology, then now akarudia akapata hiyo hiyo D, Je katika kuunganisha cheti hiyo ni itabeupgrade na kuwa C au inakuaje kuaje.

Tafadhali mwenye kujua na wahusika mnijuze.
 
Frequently Asked Questions (FAQs)

What happens if I lose my O/A-Level certificate?
One has to apply for Confirmation of results that goes to the prospective employer or institution of study.One can also apply for a Certifying statement of results .This is an official document issued by NECTA which shows the grades obtained by a student in a given examination session. Certifying statements will be accepted by educational institutions and places of employment as a legitimate record of results.

If I have two or more certificates from different sittings is it possible for them to be combined into one certificate?
NO. Each examination sitting has its own certificate and NECTA does not combine certificates from different sittings.

Are NECTA Certificates recognized internationally?

What security measures are in place at NECTA to protect our national examinations?

What is the cause for candidates to have their results withheld and what are the codes used?
 
wakuu habari.ni hivi nimebahatika kurudia kama mara mbili hivi mtihani wa kidato cha nne kwa karibu masomo yote 7,matokeo ya awali nilikuwa na ufaulu hafifu ambao binafsi sikupendezwa nao niliporudio mara ya pili japo sikufanikia sana lakini nilipata angalau matokeo bora kwa baadhi ya masomo.

sasa naomba kujua je kuna utaratibu wa kuunganisha vyeti,yani kile cha kwanza na hiki cha pili,utaratibu huo unakuaje na inachukua muda gani na gharama kiasi gani

na je ,kwa mfano kwenye matokeo ya awali mtu akapata labda alama D kwenye biology,then now akarudia akapata hiyohiyo D je katika kuunganisha cheti hiyo ni itabeupgrade na kuwa C au inakuaje kuaje.

tafadhali mwenye kujua ,na wahusika mnijuze
Hamna kitu kama hicho. siku hizi unatakiwa kurudia masomo yasiyopungua 7 kama unataka kuwa na cheti kimoja. Vyeti vya kuunga unga huwezi kwenda nayo vyuo vya serikali kwa sasa. Labda Amazon College.
 
Frequently Asked Questions (FAQs)

What happens if I lose my O/A-Level certificate?
One has to apply for Confirmation of results that goes to the prospective employer or institution of study.One can also apply for a Certifying statement of results .This is an official document issued by NECTA which shows the grades obtained by a student in a given examination session. Certifying statements will be accepted by educational institutions and places of employment as a legitimate record of results.

If I have two or more certificates from different sittings is it possible for them to be combined into one certificate?
NO. Each examination sitting has its own certificate and NECTA does not combine certificates from different sittings.

Are NECTA Certificates recognized internationally?

What security measures are in place at NECTA to protect our national examinations?

What is the cause for candidates to have their results withheld and what are the codes used?
chief nimekueleewa but kuna haja ya necta kulitazama hili kwa jicho pana ,coz akina sisi tunaounga unga kusafisha cheti tupo wengi,sasa kama utaratibu ndio hivi inakuwa kama vile ukishafanya kosa hakuna tena anfasi ya kujirudi
 
Hamna kitu kama hicho. siku hizi unatakiwa kurudia masomo yasiyopungua 7 kama unataka kuwa na cheti kimoja. Vyeti vya kuunga unga huwezi kwenda nayo vyuo vya serikali kwa sasa. Labda Amazon College.
sawa,so kama mtu anaweza labda masomo mawili kati ya hayo 7 hapo inakuaje shekhe,huoni kama huu ni unyanyapaa kwa akina sisi wenye uelewa na ufaulu hafifu?
 
sawa,so kama mtu anaweza labda masomo mawili kati ya hayo 7 hapo inakuaje shekhe,huoni kama huu ni unyanyapaa kwa akina sisi wenye uelewa na ufaulu hafifu?
Unaruhusiwa kurudia hata somo moja. Issue inakuja pale unapohitaji cheti kimoja nyenye masomo yote. Lengo la masomo 7 ikiwemo Mathematics ni ili kuwekewa daraja. Usipokuwa na masomo saba na hesabu isipokuwepo hata ukipata A zote unawekewa div. IV.
I stand be corrected.
 
duh,sawa mkuu nimekuelewa,ila kama ndio hivyo elimu ya necta na mifumo yake ni ya ajabu ,na yakizamani zaidi
 
Inabidi urudi tena shule,, yaani mwezi huu ushindwe kumpa mimba mkeo na mwezi unaofuata ukishindwa,, zichanganywe shahawa zako zaifu ziwe mimba!!!?
 
Back
Top Bottom