zeromagic Senior Member Joined Sep 14, 2016 Posts 186 Reaction score 67 Sep 16, 2016 #1 wana jf, nawezaje kuunganisha vpn ifanye kaz katka apn niliyopo kwani software za vpn nilizonazo hazina sehemu ya kuconfigure apn... naomba msaada kwa anayejua software inayoweza kuunganisha au jinsi ya kuunganisha...
wana jf, nawezaje kuunganisha vpn ifanye kaz katka apn niliyopo kwani software za vpn nilizonazo hazina sehemu ya kuconfigure apn... naomba msaada kwa anayejua software inayoweza kuunganisha au jinsi ya kuunganisha...