Mh, my dear, kama una ndugu na wampenda, jinsi tunavyopendana humu, mshauri asitumie.
Kulinda kinga ya mwili wako ni lishe bora na tabia ya kutunza afya ya mwili wako. Mada kuu imeshauri njia moja ya huo usafi wa mwili ambayo ndiyo moja ya lango kuu la maambukizi.
Ujumbe uliomo kwenye link hiyo si wa kibiashara tu, pia ni wa maangamizo. Ukitambua walengwa wa huo mpango, utaelewa pingamizi na ushauri wangu.