tumia pdanet+
unachotakiwa kufanya nenda settings halafu nenda OTHER halafu nenda HOTSPOT AND TETHERING halafu unatick usb tetheringNatumia PC desktop ya HP window 7
Naomba kujua jinsi ya kutumia simu Yangu tecno m3 kama modem kwa kutumia USB cable!
Natanguliza shukrani!
unachotakiwa kufanya nenda settings halafu nenda OTHER halafu nenda HOTSPOT AND TETHERING halafu unatick usb tethering
kama nataka kugawa wi-fi kwa simu nyingine kama samsung pocket je nafanye?
refer screenshot ya tatu halafu unaweka hotspot on unakuwa tayari unatransmit wifi