Poleni na majukumu wana Jf, kwa wale wataalam waliobobea kwenye IT, je kuna jinsi ya kutumia internet free pasipo malipo tena Unlimited! jibu kama ni ndiyo nini kinafanyika na inawezekanaje? lengo c kama nataka kufanya bali kwa faida yangu na watu wengine ni kutaka kujua kama hii kitu ipo kweli.
Mb 200 free na airtel kuanzia saa 6 usiku
Nunua line za airtel za kutosha ikifika saa 6 usiku anza kutumia line moja baada ya nyingine kila ikimaliza mb 200 unaweka nyingine
Hakuna free internet unlimited kwasasa
MAmbulula 2ko weng hzo mb hv huwa zatmika hata kwa pc
MAmbulula 2ko weng hzo mb hv huwa zatmika hata kwa pc
Muone nJunwa. For the first time alinipatia Unlimited Internet One Month for 10,000/- Nikakamua 12GB, saivi nshaizoea kwa hiyo sinA uchu nayo tena, hivyo kwa Mwezi nnapiga vitatu hadi Sita. Na mara nyingi huwa napenda kustream Videos Online.
Halafu, huu mpango wa 1GB kwa Tsh900 umetulia kishenzi. Nimejaribi mara mbili nkaitizama Serie ya KOREA-IRIS episodes kama 7. Yaaan baab kubwa. Halafu ukiwa na spotify ndio Mpango Mzima baaake.
Mwenzio anataka ya bure akimaanisha no price at allMuone nJunwa. For the first time alinipatia Unlimited Internet One Month for 10,000/- Nikakamua 12GB, saivi nshaizoea kwa hiyo sinA uchu nayo tena, hivyo kwa Mwezi nnapiga vitatu hadi Sita. Na mara nyingi huwa napenda kustream Videos Online.
Halafu, huu mpango wa 1GB kwa Tsh900 umetulia kishenzi. Nimejaribi mara mbili nkaitizama Serie ya KOREA-IRIS episodes kama 7. Yaaan baab kubwa. Halafu ukiwa na spotify ndio Mpango Mzima baaake.
Mwenzio anataka ya bure akimaanisha no price at all
hahahahahahahahaha ok mimi kila siku nakesha na airtel mb 200 naskiliza radio ktk pc usiku Listen2myradio.com - Get your own FREE online radio! nawewe skiliza street one radio