Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,134
- 664
Hivi gmail na google mail ni sawa? Mi nina gmail a/c,ntawezaje kutuma sms?
Sasa mbona mimi kwenye simu yangu inanizingua? Mara nyingi nikituma sms inabakia kuandika sending lakn hamna kitu kinachoenda. Mara nyingine inaishia kustack had nizime simu. Tatizo litakuwa ni nini?
unatumia cm gani???
mmi cna shda ndani ya android OS........ vunja hyo, hamia huku!!!"""""""
Mi natumiaga mjoy kutuma msg za bure unajisajiri kwnz kuna vijicredit unannua kwa kuclik kwny tangazo ndo unavonnua credt
Mtoa mada shukrani na kwa wachangiaji pia.
Nami niliijaribu kwa nokia ikakubali lakini sasa nimebadili simu natumia samsung d 780 ina uwezo wa kufungua net lakini imenigomea kukubali kuregister je mnaweza nisaidia?
Mtoa mada shukrani na kwa wachangiaji pia.
Nami niliijaribu kwa nokia ikakubali lakini sasa nimebadili simu natumia samsung d 780 ina uwezo wa kufungua net lakini imenigomea kukubali kuregister je mnaweza nisaidia?
Sasa mbona mimi kwenye simu yangu inanizingua? Mara nyingi nikituma sms inabakia kuandika sending lakn hamna kitu kinachoenda. Mara nyingine inaishia kustack had nizime simu. Tatizo litakuwa ni nini?
Whatsup is better...
Oh dah cjui gundu hii yani nimeupload iyo file mediafire kama jar. Niko kwa 4ne apa nimeitest iyo link file inakuja kama zip folder... Anyway temana na hyo link nenda:
HAPA