Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,134
- 664
Oh dah cjui gundu hii yani nimeupload iyo file mediafire kama jar. Niko kwa 4ne apa nimeitest iyo link file inakuja kama zip folder... Anyway temana na hyo link nenda:Nina maswali mengi kwa sababu nimeipenda hii kitu. Niliidownload ila tatizo downloading ilipomalizika,nikaopen alafu ikasave. Ikaniambia "atachment saved" nilipokuja kuitafuta baadae iliniifungue,nikaikuta kwenye "Notes" kuifungua nakutana na viboxbox tu nikashindwa hata kuilewa. Msaada zaidi tafadhali.
Kama una yahoo mail account unaweza kutuma txt message kwenda kwa cell phone bure.
Oh dah cjui gundu hii yani nimeupload iyo file mediafire kama jar. Niko kwa 4ne apa nimeitest iyo link file inakuja kama zip folder... Anyway temana na hyo link nenda:
HAPA
Nimetumia siku moja tu baada ya hapo inakosa nguv ya kukonect kwenye net!
Ili uweze kupata hii service unachotakiwa ni kufungua hii website JaxtrSMS - The World's Only Free and Open Texting Application kisha download jaxtrsms app ambayo ni compatible na simu yako. Ukishadownload hiyo app ifungue na ujiregiste, ukishamaliza hawo jamaa watakutumia validation sms kwenye namba yako na hakikisha ume confirm kwa kuopen hiyo link waliyokutumia hapo ndipo utaweza kuenjoy hizo unlimited free sms.
Note: hiyo huduma inaitaji internet connection
Ila kuna zile link zinakuja mwisho wa sws kuna anaejua kuzitoa?
Sidhani ka yanaweza kutoka,yatakuwa ndo matangazo yao
Asante mdau, g mail nao wanatoa msg bureeee unaweza kuchek pia. Wao ukifungua tu a/c ya google mail unapata. Ila unaweza kutuma kwenda tigo na voda tu as for now.