ndiyo matatizo ya kukurupuka...sasa sijui alikuwa hajui kama intanet inalipiwa? hakuna cha bure hapa dunianikumbe sio bure sasa wanakukata kwenye internet services kama kawaida..
ni bure wanaokata net si mtandao? Ina maana kama una wireless connection au unlimited bundle si hukatwi hela
hakikisha country code ilikuwa sawa,na sajili namba uliyoko online. Mimi ilikuja fastaNime download nimeregister lakin hawajatuma link wamenitumia namba kibao kwenye SMS au hiyo link nainconfirm wapi kwenye inbox ya jaxtrsms?
hivi wireless hailipiwi eeh? Wengine tunagoogle kwa visimu vyetu vya tochi hata hatuelewi.
hivi wireless hailipiwi eeh? Wengine tunagoogle kwa visimu vyetu vya tochi hata hatuelewi.
Hapa matapeli wa kinigeria watapata wengi wapenda dezo. Shauri yenu. Baada ya kulizwa tutawasikia humu mkilalamika na kulaani badala ya kujilaumu kwa ujuha na kupenda dezo kwenu. Shame on you!
Usiniambie! Kumbe vitochi na vyenyewe vimo eeh!
Nafikiri alimaanisha ukiwa ofisini. Hata kangu ni kamchina ila nikifika sehemu yenye wireless (ofisini) kanajibadili hivyo ile alama ya E inapotea na ya wireless inatokea.